hakika MWENYEZIMUNGU hakukosea, kamwe hamuwezi kuyaficha yaliyo ktk mioyo yenu.
Mtu anatafuta mchumba, mambo ya uamsho, kujilipua, hija yanatoka wapi?
Kama sio mnawashwa na chuki zenu?
Kama huna cha kuchangia si bora unyamaze?
Mijitu mingine hovyo kabisa, mnajidhihirisha wenyewe kila kukicha.

Huo ni ushahidi virusi vya udini bado vinawatafuna watanzania.Kila kitu lazima wataje mabo ya udini.Huko ni kubomoa umoja wa watanzania na tunakoelekea hatakuoana dini tofauti itakuwa kazi.
kaka huo ni uendawazimu,muislamu anayetaka kuoa atataka mwenza mkristu,ingawa mi ni mkristu lakini hii michango mingine ni ya kiuhayawani,huna tofauti na uamsho "abarikiwe yule asiyekaa kwenye baraza la wenye mizahaMcha Mungu gani anae waambie wafuasi wake wajitetee kwa kujilipua?