Amjadey
Member
- Jun 29, 2011
- 83
- 31
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatuh.
Mimi ni mwanaume
Umri ni 29
Muislamu
Nimesha ajiriwa
Nahitaji mwanamke ambae awe mke wangu wa ndoa akiwa Muislamu itapendeza zaidi.
Awe na umri usiozid 21 hadi 25. Awe ametulia kiakili na kifikra sio lazima awe ameolewa, napendelea awe mama wa nyumbani alee familia yetu
Kwa aliyetayari nifuate inbox
"Na tembeeni katika ardhi na mutafute fadhila za Mwenyezimungu"
Salaam