Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Noo kloro, sio kwamba sijibu, ila nimechelewa kujibu,
Do Once ilikuwa online kloro, nimekujibu, asubuhi hii, hebu angalia.
Hiyo haibadilishi wala haipunguzi urafiki wetu, sisi ni marafiki katika shida na raha kloro.
Mi nacheza aruba-stini!Nnayoitaka ni A tena ya jembe aka Ace of spades!
Mmmmmh Mpendwa??? Ya kweli hayo?
Mhh, huo mchezo najua inategemea na idadi ya watu wanaocheza..kama wako wengi mpaka upate A, michezo 10 ishachezwa.. labda iongezeke pakti nyingine ya karata.. nakushauri ucheze 'last-card' kila karata ina heshima yake..ila angalia JOKER-Y..lol
Sina wasiwasi maana mchezo naujua na imani juu!Alafu sijawahi kushindwa!
Muhimu sio mara nilizocheza bali mara nilizoshinda kati ya mara nilizocheza!Mmh nishindwe kutofautisha joka na A kwanini?ushacheza mara ngapi?? wewe ni mzoefu kiasi cha kujua A na JOCKERY..??
Muhimu sio mara nilizocheza bali mara nilizoshinda kati ya mara nilizocheza!Mmh nishindwe kutofautisha joka na A kwanini?
Kwa hiyo kati ya CPU na Klorokwin yupi garasha ??? au nani ni A au Joka?? lol!!
We sasa hunitakii mema!Inawezekana wote ni A jembe na nyanya!
hapo kwenye mabano mbona unabagua rangi kwani kuwa mweusi ni kosa ?Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe (mweupe),smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
Kuna dada anajiita LD, ngoja aje atupe ushuhuda, watch this space,
LD muondoe wasiwasi huyu mtu kwa kuturushia maukweli hapa
OK, mbona unasikitika.. unaogopa kumpoteza??
Huamini?? kwani haukuwa hivyo??
Sio vizuri, kupoteza marafiki, hasa rafiki kama Klorokwini.
Mmmmh, sibishi sana Mpendwa.
Yawezekana, nilikuwa natambulika kwa matunda yatokanayo na Post zangu,
Ingawa nilijitahidi sana, kuificha hiyo.
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.