Natafuta mchumba/mume

MUNGU AKUSAIDIE UPATE HITAJI LA MOYO WAKO......

ILA SAMAHANI NDUGU ZANGU HIVI KUNA MTU KAWAHI KUFANIKIWA KUPATA MCHUMBA HUMU NA KUFIKIA NGAZI YA NDOA????? AU WATU WANAKUWA WANATANIA TU..........MANAKE mmmm!!!!!!.
hili suali huwa nilishawahi kuliuliza,huwa hatupewi matokeo kabisa.huwa na mimi napenda kujua
 
matangazo yakutafuta wenza yanawekwa kila siku na sio jambo baya tatizo sijawahi kuona hata mmoja akirudi kutuambia kapata mwenza.
sasa najiuliza huwa hawapati au wanapata lkn hawaoni sbb za kurudi kututaarifa na kuishukuru jf kwa ujumla au ni vipi?
pamoja na hayo kila la kheri mtoa mada mungu ajibu haja ya moyo wako.
 
all the best ,maadamu umetangaza nia utafanikisha.
 
Kwanzia leo usiongee tena na mimi!

sema nisikuandikie, sio nisiongee na wewe..hata namba yako ya simu sina! na kwanini unafikia uamuzi huo? any way. umeamua? back to the topic

Amina inabidi ujitokeze utetee ombi lako hapa
 
sema nisikuandikie, sio nisiongee na wewe..hata namba yako ya simu sina! na kwanini unafikia uamuzi huo? any way. umeamua? back to the topic

Amina inabidi ujitokeze utetee ombi lako hapa
Kama yalivyo maongezi mengi hapa ni utani!Usichukulie kama tunagombana jamani!
 
Huwezi rekebisha hapo kwny dini na rangi? Vigezo vingine vyoooooote vinaniaccomodate!
 
legeza masharti kidogo i'll be in. please let me know masharti yakilegezwa na pili uweke wazi what do u mean by awe na kazi coz defn. ya kazi mmmmmhh....
 
MUNGU AKUSAIDIE UPATE HITAJI LA MOYO WAKO......

ILA SAMAHANI NDUGU ZANGU HIVI KUNA MTU KAWAHI KUFANIKIWA KUPATA MCHUMBA HUMU NA KUFIKIA NGAZI YA NDOA????? AU WATU WANAKUWA WANATANIA TU..........MANAKE mmmm!!!!!!.
........Mambo ni magumu sana, uko mjini hadi umri huo! Na bado wamtafuta mwanaume kwa masharti magumu hivyo? Anagalia umri ni mkubwa dada yangu punguza masharti, vinginevyo uombe mtu afiwe na mke ndo utapata wa umri wako, hawa waliopo watakuchakachua,.
 

inshallah! Amina, mwenyezi mungu akujallie wepesi.
 

Kweli kabisa hata mimi ningependa shuhuuda ili nikiona bandiko nipte munkari wa kuwapa moyo wanaotafuta wenza
 
du hapo kwenye udini kweli kumenikosesha mengi hebu jaribu kupunguza mashari nije
 
pamoja na kuwa umesema una miaka 26, hujazaa, Je wewe ni mweupe/mweusi, mnene/mwembamba, mrefu/mfupi, unafanyakazi au mama wa nyumbani?
 
asalama alaykum hv kweli au unatania naomba cv zako
AfrikaansAlbanianArabicArmenianAzerbaijaniBasqueBelarusianBulgarianCatalanChinese (Simplified)Chinese (Traditional)CroatianCzechDanishDetect languageDutchEnglishEstonianFilipinoFinnishFrenchGalicianGeorgianGermanGreekHaitian CreoleHebrewHindiHungarianIcelandicIndonesianIrishItalianJapaneseKoreanLatinLatvianLithuanianMacedonianMalayMalteseNorwegianPersianPolishPortugueseRomanianRussianSerbianSlovakSlovenianSpanishSwahiliSwedishThaiTurkishUkrainianUrduVietnameseWelshYiddish⇄AfrikaansAlbanianArabicArmenianAzerbaijaniBasqueBelarusianBulgarianCatalanChinese (Simplified)Chinese (Traditional)CroatianCzechDanishDutchEnglishEstonianFilipinoFinnishFrenchGalicianGeorgianGermanGreekHaitian CreoleHebrewHindiHungarianIcelandicIndonesianIrishItalianJapaneseKoreanLatinLatvianLithuanianMacedonianMalayMalteseNorwegianPersianPolishPortugueseRomanianRussianSerbianSlovakSlovenianSpanishSwahiliSwedishThaiTurkishUkrainianUrduVietnameseWelshYiddish
Detect language » Swahili​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…