Natafuta mchumba/mume

Ngumu sana,mwanaume anayekufaa huku hawezi kupatikana kirahisi, hivi kwenye nyumba za ibada umekosa,shuleni pia,kazini,kwenye daladala,mtaani kwako pia umekosa! Unategemea kumpata mwnaume wa kwenye mtandao kweli utatoboa? Huku siko kabisa labda ue mcharuko, vijana wa leo wamekosa malezi bora elewa mjini kila mtu kaja kivyake! Kuna aliyeua mzazi kakimbilia mjini je utamweza?
 

wapo bana usimkatishe tamaa mwenzako
 
wapo bana usimkatishe tamaa mwenzako

Haya Bwana! Je? Wewe Ulishawahi kupata ushuhuda wa mmoja aliyefanikiwa kwa njia hii?
Basi tumwombee Mungu na kumshauri vyema, ila masharti mengi sana, hali ikiwa ngumu atalegeza 2, kwani wewe tayari?
Kama bado jaribu kama masharti unayaweza.
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>

kuna mmoja alisema amempata ila walipokutana alimuudhi sana kwahiyo uhusiano ukvunjika sikuhiyoyo, na akashauri wachumba wa kwenye mitandao hawafai
 
Nimempatia humu humu mpendwa,
Wala sikuweka tangazo, kwa neema tu yani.

Kivp tena unampata mtu pasipo kumwambi ki2? Ina maana huku JF kuna maharage ya mbeya? Mh!
 

Mume bora huletwa na Mungu sijui kama umemuomba Mungu ndio akakuambia mumeo lazima awe na hivyo vigezo! Nijuze tafadhali
 
Hapo umeshanikosa....! Kila la heri ....!
 

Umemkosea nini ALLAH hadi waomba mume kwa njia hii.... POLE SANA...................
 
pamoja na kuwa umesema una miaka 26, hujazaa, Je wewe ni mweupe/mweusi, mnene/mwembamba, mrefu/mfupi, unafanyakazi au mama wa nyumbani?
Naunga mkono,mbona profile ya amina iko low sana haina hivyo vitu muhimu kwa kuongezea atujuze pia eleimu yake,yeye ni mkali au mpole,mcheshi au mkimya,ashawahi kuchakachua au bado na kama tayari kama kuna abortion ni ngapi nk.baada ya hapo nitakuwa tayari kuleta maombi.Yawezekana yeye potabo mtu anataka mwenye wowowo na vice versa.....!!!
 

Dini dini dini dini dini

Ayaaaaaaaaa nimesha kukosa
 
Mimi nina sifa zote hizo.
Ila kama kungekuwepo na mashine ya kupima kama umetoa mimba ngapi ningekubali.
Maana najua sitakukuta bikra.
 
Hahahahahahaha!Mpendwa asante kwakunipa kicheko changu cha kwanza siku hii ya leo!Najaribu kuchanya karata zangu vizuri ili nisipate garasha!

Inafurahisha usipate garasha? haya bana
 
Ha,haaa umenifurahisha kwa huo msemo tuu ila Mungu ndie muongozo wa yote uwezi jua mrembo
Nafurahi umefurahi!Mungu anamsaidia yule anaejisaidia mwenyewe..usipokua makini hawezi kukulazimishia!
 
Inawezekana ikawa kweli!

Hona huyu mtu mwingine kama huna nia ya kumsaidia huyu dada si ukae kimya? sasa umchangia nini? tukimwuliza hivyo dada yako utafurahi? jieshimu hawa ni dada zetu kama dada yako au mpenzi wako

kuwa makini unapochangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…