Mimi nina sifa zote hizo.
Ila kama kungekuwepo na mashine ya kupima kama umetoa mimba ngapi ningekubali.
Maana najua sitakukuta bikra.
hata kwenye ndoa ni udini tu, sasa sisi wakristo itakuwaje?
mina are you serious?Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
umekumbuka tulivyokuchana humu?!!!!