Wapo wengi tu sababu ya kuchelewa masomoni na kupata ajira32-40
Hajaoa na hana mtoto? Inawezekana...
Hawa ni wanaume 9 tofautiNatafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.
Ila nikikumbuka zile pisi zilikuwa zinasoma engineering mmmh basi tu yatapitaaa
Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla...
I'm about 31yrs,Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla...
Engineer Mwachiluwi tatizo lako ni kushinda wavuvi kunakukosesha mke.Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe...
Unaonekana mjeuri sana wewe kulikuwa hakuna ulazima wa kusema umeishi njee....Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla. Mimi nimeishi nje ya nchi kwa mda mrefu na nilikuwa na mwanaume huko ambae pia hakua mtz na dini zetu zilikuwa tofauti..familia zote mbili zilishindwa kuafiki hiyo situation ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake. Na sasa ndio nimerudi tz nkaona niendelee na maisha mapya
Wee ni Msumbufu sana unaonekanaSina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla. Mimi nimeishi nje ya nchi kwa mda mrefu na nilikuwa na mwanaume huko ambae pia hakua mtz na dini zetu zilikuwa tofauti..familia zote mbili zilishindwa kuafiki hiyo situation ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake. Na sasa ndio nimerudi tz nkaona niendelee na maisha mapya