Natafuta Mchumba/Mume

32-40
Hajaoa na hana mtoto? Inawezekana.

Hana mtoto na si mlevi? Haiwezekani.
Awe na degree na kipato cha kueleweka asiwe na walau mtoto, UONGO HUO.

Anyway, kila la kheri. Allah akujalie mume mwema utimize nusu ya dini.
Mi nina 33 ila sina mke wala mtoto sababu ya mihangaiko nje ya nchi.
 
Kumbe elimu haijakukomboa na hutaki/huna uwezo wa kukomboa wengine.Sasa dini kuwa tofauti inahusiana nini na ndoa?Badilika.
 
Oh nice...so u were living abroad. I lived abroad too so we can match up becoz we both have ample exposure and we can share some of our experiences au unasemaje mrembo.
 
Unamsaundisha kitasha?Noma kweli!
Afcoz mate am trying to woo her. She js a potential wife, sii umeona kwanza engineer alafu kashafanya kazi abroad, hawezi kuwa na mambo ya kingese ngese. Alafu 32 hana mtoto ina maanishi she is career oriented, sasa huyu ndio type yangu kila mtuu anapiga kazi tuu. Wacha nijaribu bahati yangu.
 
Mtazaa wajukuu.Ma bad!
 
32 yrs, engineer, hujaolewa, huna mtoto, hapo kuna kitu, nahisi sura labda haivutiii sanaaa, ujue wanawake wenye sura ngumuuuuu wengi huwa engineers, samahani kama itakuuma, ila ukweli ndio huo,

Alafu unaweka masharti awe na degree kwenda juu, ukute na mwanamke mwenyewe sura ngumuu, shape labda haipo, hapo kuolewa utaona instagram, TV, You Tube, FB na marafiki zako. Kila la kheri.
 
Kwa hiyo kwa ufupi angeandika "MIMI SITAKI KUOLEWA"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…