cutetoto
Member
- Oct 4, 2012
- 19
- 7
Habari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 asiye oa, asiye na mtoto zaidi ya mmoja, sijaolewa, sina mtoto, nina elimu ya chuo, nimeajiriwa. Mume mtarajiwa awe ana kazi au amejiajiri awe amesoma, mueelewa, mwenye mapenzi ya kweli, mcha Mungu na awe na hofu ya Mungu. Asiwe mnene sana awe mrefu awe amemaliza mambo ya ujana, mi si mnene wala mwembamba, si mrf wala mfupi, si mweupe wala mweusi niko kati,napenda kusali,gym, jogging,napenda music haswa country music, napenda kusafiri sehemu tofauti.
Kwa wale wenye age hiyo hapo juu walio single na serious plse pm,
Wanyakyusa hapana, najua mtasema na ubaguzi ila nina experience nao mbaya sorry for that..
Kwa wale wenye age hiyo hapo juu walio single na serious plse pm,
Wanyakyusa hapana, najua mtasema na ubaguzi ila nina experience nao mbaya sorry for that..