Natafuta mchumba(mume)

cutetoto

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
19
Reaction score
7
Habari zenu, mimi ni mdada age yangu 30-33 nina tafuta mume mwenye age 34-45 asiye oa, asiye na mtoto zaidi ya mmoja, sijaolewa, sina mtoto, nina elimu ya chuo, nimeajiriwa. Mume mtarajiwa awe ana kazi au amejiajiri awe amesoma, mueelewa, mwenye mapenzi ya kweli, mcha Mungu na awe na hofu ya Mungu. Asiwe mnene sana awe mrefu awe amemaliza mambo ya ujana, mi si mnene wala mwembamba, si mrf wala mfupi, si mweupe wala mweusi niko kati,napenda kusali,gym, jogging,napenda music haswa country music, napenda kusafiri sehemu tofauti.
Kwa wale wenye age hiyo hapo juu walio single na serious plse pm,

Wanyakyusa hapana, najua mtasema na ubaguzi ila nina experience nao mbaya sorry for that..
 
Akiwa na age chini ya ulivyoandika? atapewa nafasi???? na akiwa mnyakyusa then akakudanganya kabila nyingine na ukaja gundua baada ya mahusiano je?
 
Fiki unawawabagua?
 
 
Hahahaaaa! Ningekuwa mwanaume ningekukwapuaje fastaaaa! UTAPATA TUUU! Wishing you luck sema wengi bahili sana humu, bora ungesema bahili hatakiwi!!!! LOL! Pia MBA (MARRIED BUT AVAILABLE) UWE MAKINI NAZO!!!
 
Hahahaaaa! Ningekuwa mwanaume ningekukwapuaje fastaaaa! UTAPATA TUUU! Wishing you luck sema wengi bahili sana humu, bora ungesema bahili hatakiwi!!!! LOL! Pia MBA (MARRIED BUT AVAILABLE) UWE MAKINI NAZO!!!

Mademu bwana hawautaki weusi wala unene wala ufupi lol sasa anavyosema sio mweusi au mweupe sio mrefu wala mfupi sio mnene wala mwembamba,lol ubalini rangi zenu...Obama yule ni Black je color yako inaizidi ya Obama?
 

Be specific wewe jikubali jinsi ulivyo hakuna kipimo cha kati,kama ni mweusi,mnene na mfupi sema tuuuuuu!!! Je rangi yako imeizidi ya OBama? Maana Obama ni Black yule.
 
Duh ! sipati picha ina maana huko unakoishi,unakofanya kazi unakotembelea ,hakuna kabisa wanaume wa kuku check madame mpaka ukairusha kwa JF.Nina wasiwasi sana huenda huna tabia ya kusabahiana na watu thus why still single.
 
Duh ! sipati picha ina maana huko unakoishi,unakofanya kazi unakotembelea ,hakuna kabisa wanaume wa kuku check madame mpaka ukairusha kwa JF.Nina wasiwasi sana huenda huna tabia ya kusabahiana na watu thus why still single.

Pumguza negativity mkuu, saa ingine kati ya watu unaokutana nao, hujavutiwa nao, au hawana hivi vigezo anavohitaji. SOMETIMES LIFE SUCKS!!!! Hata huku wapo watu wanatafuta wadada kama yeye na hawajawapata so sio mbaya wakionana!!! LETS SHOW SOME LOVE JAMANI!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jaribu kucheck na Boflo
 
Last edited by a moderator:
Inshallah mungu atakupa mwenye kheir wewe muishi nakusikizana.....
 
shosti lara 1 naona unaweka mambo level, ila Madame B katibuliwa na ji2 flan hivi hebu nenda kampoze nimejaribu kubadil somo kimtindo but hola!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…