Natafuta mchumba/mume

Wee mdada uko serious? Ila mpaka 28yrs haujawa specific,fanya fasta umri unaanza kuacha njia huo. Anyway bila utani nakutakia mafanikio. Nina vigezo vyote,nina elimu/mhasibu ila tumepishana kwenye umri apo! Mi nko 25yrs,wee 28, 3yrs ahead of me z much, I continue to seek one of my life ,and thus all the best!
 
Dah.. hommie unavyopenda mteremko wewe sikuwezi...
Ahaa wewe unataka kunizibia nisipate mchumba,Hommie hivi Da Sophy wa usalule kakupa nini? Pole na yale matatizo g-y aliniambia jana
 
Ahaa wewe unataka kunizibia nisipate mchumba,Hommie hivi Da Sophy wa usalule kakupa nini? Pole na yale matatizo g-y aliniambia jana

Wewe kwanini hutulii lakini si uko namba mbili? Utaniudhi sasa hivi
 
Allaah Ackbar...............neema hii mimi nimekuota leo hihiii, jamani yaani ukweli vile acha kabisa come baby, baby come 2me
 
kwanza ilooo kasema ataka kristian person then why u start with allahu akibar!!!wewe?lakini mungu kataka tuu kunidhihirishia bora nirudi kwa hashy wangu mwenyew sasa anijibu sweet words kama nin
allaah ackbar...............neema hii mimi nimekuota leo hihiii, jamani yaani ukweli vile acha kabisa come baby, baby come 2me
 
kwanza ilooo kasema ataka kristian person then why u start with allahu akibar!!!wewe?lakini mungu kataka tuu kunidhihirishia bora nirudi kwa hashy wangu mwenyew sasa anijibu sweet words kama nin

Heeee! si atamchilimicha, wakiachana atamchilimua!
 
kwanza ilooo kasema ataka kristian person then why u start with allahu akibar!!!wewe?lakini mungu kataka tuu kunidhihirishia bora nirudi kwa hashy wangu mwenyew sasa anijibu sweet words kama nin

Usiende mbali na miiiii, mimi bado nakupenda, usitoke mbali na mii, kweli bado nakupenda............................., nilham sory mamy nilipitiwa kidogo tu nikaweka utani cjamaanisha ati, acha kwenda kwingine mie nipo kweli vile,ckutanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…