Natafuta mchumba Mwalimu awe mke

Natafuta mchumba Mwalimu awe mke

RFP

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
171
Reaction score
194
Wadau natafuta Mwalimu aliemamaliza mwaka Jana awe make please, inbox me, awe mzuri na awe anaishi dar
 
Bandle shida nn
 
Wadau natafuta Mwalimu aliemamaliza mwaka Jana awe make please, inbox me, awe mzuri na awe anaishi dar
weka tangazo vizuri Mkuu, mwalimu ngazi gani...halafu kumbuka magufuri hatawaajiri aisee
 
Wadau natafuta Mwalimu aliemamaliza mwaka Jana awe make please, inbox me, awe mzuri na awe anaishi dar
Mwanamke sura bhana.
Tabia itanyooshwa tu eti eeh!!
 
Mwalimu wa degreee
 
Back
Top Bottom