Natafuta mchumba (mwanamke) Askari/JWTZ/Daktari

Gee23

Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
29
Reaction score
38
Wanajamvi, wasalaam!

Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. Huyo mwanamke LAZIMA awe:

(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu, kitengo chochote.

Sifa zangu:

-Mwanaume umri 45 miaka
-Mkristu Mkatoliki
-Urefu 175 cm
-Uzito 73kg
-Rangi maji ya kunde
-Elimu chuo kikuu

Sifa za ninaemtafuta:

-Awe na umri usiopungua miaka 33.
-Awe mkristu/muislamu.
-Elimu isiopungua form 4 lkn awe na vigezo (A) hapo juu.
-Awe mTanzania, mrundi, mnyarwanda, mkongo, msomali au mMalawi.
-Kama ana mtoto, basi asizidi 1 wa umri mdogo.

Natanguliza shukrani zangu kwa JF, kwa kutuunganisha. Nimeshuhudia wengi wakijipatia wapenzi, wenzi na marafiki humu. Lakini pia nisiwasahau wale waliopo tu kwa ajili ya ku comment, kukosoa, na kukera kwa kuwa kwenye msafara wa mamba....ila kwa wale wanaolitumia jukwaa hili vizuri, wananufaika. Kwenu wenye sifa hizo, tafadhali. Naamini inawahusu hao ladies pekee. Ukipungukiwa na sifa moja, na unatamani kuingia kwangu, tafadhali, DM. Usi 'comment!'
 
Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? 😂

Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki

Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?

😂😂😂
 
😀😀
 
Anatafuta Mzee mwenzie wamalizie maisha jaman kwan Kuna ubaya
 
Uzito umezingatiwa 🤣🤣🤣
 
Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? [emoji23]

Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki

Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?

[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali maadam sio wewe. Nataka kufungua hospitali na kampuni ya ulinzi[emoji28]
 
Wanajamvi, wasalaam!

Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. Huyo mwanamke LAZIMA awe:

(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu, kitengo chochote.

Sifa zangu:

-Mwanaume umri 45 miaka
-Mkristu Mkatoliki
-Urefu 175 cm
-Uzito 73kg
-Rangi maji ya kunde
-Elimu chuo kikuu

Sifa za ninaemtafuta:

-Awe na umri usiopungua miaka 33.
-Awe mkristu/muislamu.
-Elimu isiopungua form 4 lkn awe na vigezo (A) hapo juu.
-Awe mTanzania, mrundi, mnyarwanda, mkongo, msomali au mMalawi.
-Kama ana mtoto, basi asizidi 1 wa umri mdogo.

Natanguliza shukrani zangu kwa JF, kwa kutuunganisha. Nimeshuhudia wengi wakijipatia wapenzi, wenzi na marafiki humu. Lakini pia nisiwasahau wale waliopo tu kwa ajili ya ku comment, kukosoa, na kukera kwa kuwa kwenye msafara wa mamba....ila kwa wale wanaolitumia jukwaa hili vizuri, wananufaika. Kwenu wenye sifa hizo, tafadhali. Naamini inawahusu hao ladies pekee. Ukipungukiwa na sifa moja, na unatamani kuingia kwangu, tafadhali, DM. Usi 'comment!'
Unataka KULELEWA LIPIA TANGAZO
 
Wala sikushangai..ila nashindwa kuelewa, wewe ni mwanamke au mwanaume? Coz walipaswa walioalikwa ndio wa comment, sio wasioalikwa, anyway unaruhuaiwa kuruka kwenye mvua utifue vumbi[emoji17]
 
Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? [emoji23]

Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki

Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?

[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu unatafuta mke au Askari na Daktari? Unataka kufungua duka la dawa na kituo cha ulinzi au? 😂

Hivi nyie msiojali kuhusu dini, uwa ni hamuamini ktk dini zenu au? Sasa we mkiristo, akija Muslim. Hiyo ndoa mtafungia bomani au? Hainogi sbb nyie wakatoliki mna visheria lukuki

Na kwanza tuambie, ilikuwaje ukafika 45 ngoma bila bila? Wanaume serious wanaoa wakiwa 30s. We kilitokea nini wakati huo?

😂😂😂
Kama alifiwa na mkewe je? Halafu iman kutofautiana hakuwezi kufanya watu wasipendane au kuishi pamoja.
 
Back
Top Bottom