Natafuta mchumba/mwanamke - only serious ladies!

Natafuta mchumba/mwanamke - only serious ladies!

Kisaka80

Senior Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
151
Reaction score
94
JF naona ni magumashi tu jamani..hata hakuna u-serious!
 
Heshima kwenu wana JF.

Mimi ni kijana wa miaka 30, am single . Kwa sasa nimekusudia kuanza maisha mapya ili kuweza kujenga familia bora na sio bora familia. Ili ndoto zangu ziweze kutimia, nimeamua kujitokeza hapa jamvini ili kuona kama naweza kumpata msichana/mwanamke mwenye nia thabiti kama yangu. Napenda mtu mwenye sifa kama hizi;

a. awe na umri kati ya miaka 18 - 30.
b. Elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea.
c.Awe wa dini yeyote ile But mimi sipo tayari kubadili dini (Mimi ni mkristo wa Rc).

Nawatakia kazi njema na kila lakheri katika maisha ya kila siku. Aliye tayari anaweza tukawasiliana kwa e-mail hii:moseskisaka84@yahoo.com au anaweza kunitumia ujumbe/pm.

ASANTE.

mi mwenyewe natafuta kama vp ni pm basi tuone how serious u r.
 
Back
Top Bottom