Natafuta mchumba mwanamke

Natafuta mchumba mwanamke

WAKUONDOKA

Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
46
Reaction score
24
Mimi ni kijana miaka 30.Natafuta mchumba rangi, umbo, elimu sio kigezo ili awe anajielewa,anajitambua asiwe tegemezi awe mchapakazi.
Kama unaona uko tayari ni pm tuwasiliane. Kwa wale wa masihara plz naombeni mkae kando kwani naamini kuna walioko siriazi.
 
Umeshapata?
 
Hawa wa kwenye mitandao watakutapel tu ukiwa nazo watakutongoza wenyewe
 
Back
Top Bottom