Natafuta mchumba mwanamke

mwanya2097

New Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Habarini humu waungwana!

Mimi ni mwanaume, natafuta mwanamke tujenge mahusiano, kama mambo yataenda vizuri tuoane panapo majaaliwa mwakani. Kwa sasa nipo nje ya Tanzania hivyo ni ngumu huku niliko kupata Mswahili mwenzangu.

Mwanamke mwenye sifa hizi anaweza kuja mengine tutaongea zaidi dm.

Umri - amezaliwa baada ya 2000
Dini - Mkristo (Mkatoliki)

Sifa zangu kiufupi.
Umri - Miaka 26
Dini - Mkristo (Mkatoliki)
 
Humu utachelewa nenda fb na ig wapo wengi wanaojiuza mtandaoni hata hawana aibu kama wa humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…