mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
- Thread starter
-
- #21
Hizi ni tabia za kiswahili. Shindwa na ulemae,usisimame tena.
Unataka kula kuku na mayai yake akikua?!!!
Shindwa na ulegee
maamuzi tuKwa nini wa kike?
<br />nini maana ya kuku na mayai??? na ulijuaje kama na wewe si muhusika?? kwa nini unihukumu kwa fikra bana??? acha upuuzi wewe
<br />
<br />
mkubwa naona unajibu mashambulizi.punguza hasira,sababu mi mwenyewe nahitaji kujua.kuna dili la hela au?huyo mtoto na mama ake wa nini?nijibu kwa herufi kubwa uweke vituo na mkato ili nikuelewe vizuri.mia
<br />hahahaha kaka mi niko fiti sana na nina imani kama kuprodzy ninaweza but kwa uwezo wake allah........haya ni maamuzi yangu tuu kwani hata nisipo pata mchumba mwenye vigezo hivyo bado naweza kuadapt mtoo vilevile