Natafuta mchumba mwenye ndoto za kuw mchungaji'

Natafuta mchumba mwenye ndoto za kuw mchungaji'

Appliciouz

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
36
Reaction score
8
Natafuta mchumba jamn ila tu awe anandoto za kuwa mchungaj hapo badae kwa sasaivi 2le bata kidogo ili 2kisha2bu 2metubu mazimaa!!
 
Ila wachumba siku hizi imekuwa issue tofauti na kuanzia miaka ya tisini kurudi nyuma.
 
jamani inaonekana uchungaji siku izi umekosa soko daaah!!
 
ha ha ha baadae utampeleka kijijini aende akachunge kondoo?
 
Back
Top Bottom