Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

Yani moyo wangu umeripuka sana vigezo hvyo ninavyo serious pm me
 
wanaume wa humu jaman n wabaya hivi mpk leo haujapata
Mungu akusaidie kwenye hitaji lako dear
 
Vigezo vimenipita mkuu... sijawahi kuumizwa sasa yeye anataka aliyeumizwa. Jitose basi mwanaume
kama haujawahi umizwa haumfai kabisa mana utakuwa hufhm uchung wa mapenz[emoji3][emoji3]hapo kaa pemben tu
 
Sifa zoote niko poa isipokuwa moja... Nimewahi kuumiza
 
Nicheki 0677287265
 
Njoo PM kwanza, tupange mambo.
Unataka kubembelezwa, je unabembelezeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…