Mi huwa nashangaa sana watu wanaotafuta wachumba kwa dizaini hiyo, kwenye magazeti n.k. Ninavyoamini mimi mchumba humpata kwa kumuona mwenyewe, mnakuwa marafiki then wapenzi..hapo sasa ndo utahisi kuwa huyu anafaa kuwa mke au mume. Halafu..huko chuo kuna wasichana wa kila aina, yaani umekosa kweli huko? na wa mitaani je? you are not serious.
Hapa JF wadada wote wako engaged!!!