Natafuta mchumba/ mwenza

Natafuta mchumba/ mwenza

Kayumba Barakah

New Member
Joined
Mar 10, 2024
Posts
4
Reaction score
14
Mimi ni kijana wa miaka 30, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja.

Sifa za mwenzi ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi.
3. Ajitegemee kiuchumi na awe na awe na mtazamo chanya kiuchumi.
4. Awe mwenye utu na ajue thamani ya upendo na awe tayari kuingia kwenye mahusiano.
5. Nitapendelea zaidi akiwa na mwili wa kawaida na kimo Cha kawaida.
 
Naweza kupata contant zako
 
Naona mshapatana sasa thread closed❌️
 
Chukua contact zangu hata Mimi nataka mwenye sifa kama hizo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom