Natafuta mchumba mzenj

hapa naona kuwa ntajaolewa na mtu ni mtu
 
hapa naona kuwa ntajaolewa na mtu ni mtu

Martina sijui kwa nini unapambana namna hiyo.
Mipangomingi ameshasema, muhitaji wa kweli am-PM. So kama na wewe unahitaji ndoa kiukweli basi m-PM huyo jamaa then mtamalizana wenyewe huko. Tena sio huyo tu, wapo wengi ambao wametoa maombi ya kutafuta wachumba. Nadhani kwenye faragha huko mnaweza kuongea vizuri.
 
wadada wabara mtaolewa na vijana wa kizenj,mambo kupeana atii!

Hawawezi kuwa second best bana hawa wadada zetu, msituharibie bure viji-small house vyetu vya kujificha mvua especially season kama hii, ila nyie wa kwenu tutachukua jumla, ucjal
 
Hawawezi kuwa second best bana hawa wadada zetu, msituharibie bure viji-small house vyetu vya kujificha mvua especially season kama hii, ila nyie wa kwenu tutachukua jumla, ucjal

unamaanisha kuwa dada zako wa bara hawafai kuwa wake bali nyumba ndogo tu?
 
unamaanisha kuwa dada zako wa bara hawafai kuwa wake bali nyumba ndogo tu?

Utingo, mwanzo wa mvua mawingu mkuu, umesahau hilo! Nachomaanisha si rahisi wadada wetu hawa wa miaka 40+ kuolewa kama mke wa kwanza kwa wazenj, lazima watakuwa "second best" ndio nikasema hawawezi
 
Eti umesemaje???? Wewe mambo gani ya kusemana hadharani??? Una kesi ya kujibu

Afadhali ulivorudi tena, maana nilikuwa nataka kufunua hako kashungi nione hizo nywele zako kama kweli za mchina au?
 
Utingo, mwanzo wa mvua mawingu mkuu, umesahau hilo! Nachomaanisha si rahisi wadada wetu hawa wa miaka 40+ kuolewa kama mke wa kwanza kwa wazenj, lazima watakuwa "second best" ndio nikasema hawawezi

haya mkuu.
 
Wanatembelea humu kweli? jaribu kwengine
 
mbona hausemi WATAFUTA MPENZI MLEMAVU??
 
Huna lolote unataka tu yale mambo, wamestuka siku hizi na wanasoma sana. hawafanyi yale mambo tena
 
Wanatembelea humu kweli? jaribu kwengine

Mh, hii kama ina ukweli kiasi flan maana mpaka sasa sijapata hata pm moja ya ninaemkusudia, naona za ukerewe, oh shinyanga mara chunya-lakini ya kibandamaiti, niseme ukweli haijaingia hata moja!
 
Huna lolote unataka tu yale mambo, wamestuka siku hizi na wanasoma sana. hawafanyi yale mambo tena

Kweli Ukubwa jiwe, najua hicho choyo tu! si uni-pm then unachakachua na kudai wee mzenj, nyie wabongo siku hizi vipi mbona mnalala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…