KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Mimi ni kijana mwenye umri wa 31.muhitimu wa shahada ya fedha na bank pale chuo cha usimamizi wa fedha IFM miaka kadhaa iliyopita kwa sasa ni mwajiriwa wa tasisi moja ya fedha hapa mjini DSM.Nina mtoto mmoja wa kike na mpenda sana kwa amekuwa faraja kubwa kwangu.Mimi ni mwenyeji na mzaliwa wa kilimanjaro.
Natafuta mchumba na Mungu akijalia mke..awe mweupe na mrefu kiasi kwenye alimu ya chuo.mwenye kuajiriwa au aliyejiari..mkristo wa dhehebu lolote lakini aliye tayari kufunga ndoa katika kanisa katoliki...awe na umri wa miaka 20-28.
Aliye tayari kwenda kupima afya(HIV)
Aliyetayari kumlea na kuishi na mwanangu na kumpa upendo kama mama yake mzazi.
Aliye na heshima uti na mkarimu.
Kabila yote isipokuwa mabinti wa kusini na pwani siwahitaji..
NAOMBA KUWAKILISHA
Kwa mawasiliano tuma email kwenda; prochcare2013@gmail.com