Natafuta mchumba na hii ni kwa binti alie serious na ndoa tu asome hapa.

Natafuta mchumba na hii ni kwa binti alie serious na ndoa tu asome hapa.

Ryoba Warioba

Senior Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
199
Reaction score
170
kusomana tabia kama kweli unafaa/ au nafaa kuwa mumeo,awe ni mwenye akili safi na heshima ya kufaa kuitwa mke wa fulani. Awe tayari kupima afya, umri ni miaka 18-27 sichagi dini, kwani hiyo ni hiyari ya mtu. Awe amemaliza angalau elimu ya kidato cha 4 au mjasiliamali wa kawaida, kwa atakae kuwa tayari anaweza kuni pm ili nimpe mawasiliano na kuweza kuonana ikiwezekana. Asanteni kwa kutoa muda wako kusoma haya machache, na bwana awe nanyi.
 
Umenipata;;; lakini sio mjasiriamali ... will u take me???
 
Kwenye umri kigezo kimenipita.. Au sio ishu sana
 
Kusikia yupo mgodini naona watu wameshapata mfadhaiko,bro take care humu ma gold digger pia wapo!
 
Back
Top Bottom