Natafuta mchumba, upweke umezidi

Diyo mwalimu! Mshahara wako unatosha lakini?

Kama unatosha basi nikuunganishe na Binti wa wa mjini ambaye chakula chake kikuu ni chips mayai
 
Mchumba kwanza kuna namba zinauzwa za kill marathon
Twende kesho tukapimane pumzi kama tutafaana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi huwa sipendi kwenda na upepo mdada..tafuta kitu kingine tufanye kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…