enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Wakuu waswahili husema mficha uchi hazai, nami nimeamua kuufuata msemo huu wa wahenga maana naona mambo yanakuwa sio.
Am gentleman aged 25 natafta mchumba wa kuyajenga naye na ikibidi kuoana.Awe msafi msitaarabu mengine tutarekebishana ila kwa aliye Mwanza itapendeza zaidi maana nami Niko Mwanza, kwa hiyo wadada wa humu jf kama uko willing njoo pm tuyajenge.