Natafuta Mchumba wa kike aliyeokoka

Natafuta Mchumba wa kike aliyeokoka

mylove2025

Member
Joined
Dec 30, 2024
Posts
6
Reaction score
4
Natafuta mchumba anayemcha Mungu.

Umri kuanzia mika 30 na kuendelea. Awe aliyejiajiri au kuajiriwa. Awe hajawahi kuolewa na kuachika. Au mjane.

Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Awe anajipenda uzuri wabandia siuhitaji. Asiwe bonge. Awe mkristo Awe anaishi Dar es Salaam.

Mimi ni na miaka 40 mfanya biashara. Niko Dar. Na hofu ya Mungu . Kwa mwenye uhitaji TU ni PM.
 
Natafuta mchumba anayemcha Mungu. Umri kuanzia mika 30 na kuendelea. Awe aliyejiajiri au kuajiriwa. Awe hajawahi kuolewa na kuachika. Au mjane. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Awe anajipenda uzuri wabandia siuhitaji. Asiwe bonge. Awe mkristo . Awe anaishi .
Mimi ni na miaka 40 mfanya biashara. Niko Dar. Na hofu ya Mungu . Kwa mwenye uhitaji TU ni PM.
Nenda kule kawe, kwa wale vuka na chako na kamata mwizi utapata mkuu
 
Back
Top Bottom