Natafuta mchumba anayemcha Mungu. Umri kuanzia mika 30 na kuendelea. Awe aliyejiajiri au kuajiriwa. Awe hajawahi kuolewa na kuachika. Au mjane. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Awe anajipenda uzuri wabandia siuhitaji. Asiwe bonge. Awe mkristo . Awe anaishi .
Mimi ni na miaka 40 mfanya biashara. Niko Dar. Na hofu ya Mungu . Kwa mwenye uhitaji TU ni PM.