Natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke baadae

mg4

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
71
Reaction score
70
Mimi ni kijana wa kiume
Umri miaka 28
Dini mkristo
Rangi mweusi
Natafuta mchumba wa kike ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mke
Sifa awe kuanzia miaka 24-27
Dini mkristo
Awe mchakalikaji maisha kusaidiana

Dm zaidi
 
Mimi ni kijana wa kiume
Umri miaka 28
Dini mkristo
Rangi mweusi
Natafuta mchumba wa kike ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mke
Sifa awe kuanzia miaka 24-27
Dini mkristo
Awe mchakalikaji maisha kusaidiana

Dm zaidi
Seat ya mbele [emoji3257][emoji3257][emoji3257]
 
Reactions: mg4
Jaman rangi ya dhahabu anahitajika huku[emoji849]
 
Reactions: mg4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…