Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Mimi ni mrefu ila sina ajira.π€£π€£
Mihadarati ni kitu kibaya sana
- Huu msamiati sikutegemea kutoka kwa jinsi "ME"mwaya.
- Hii haipo.3. Awe mbea
4. Asiwe anaongea sana ila nikimwanzishia tu atiririke.
Hapana. Mimi ni mstaarabu na mkimya sanaJf haiishi vituko!
Wewe sio yule dokta uchwara kutoka bukoba?
Baada ya doubt yako nimejiridhisha kuwa msamiati huo sipaswi kuutumia baada ya kutafuta maana yake. Hivyo sitautumia kamwe!- Huu msamiati sikutegemea kutoka kwa jinsi "ME"
- Hii haipo.