Natafuta mchumba wa kike from Manyara

Natafuta mchumba wa kike from Manyara

gwangufu

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
26
Reaction score
13
Umri wangu;23
Dini yangu;christian
Elimu yangu;degree
Rangi yangu;black ila cyo km mkaa
Kimo changu;160cm
Binti awe na umri kuanzia 19-22 itapendeza na mweupe.
 
unadegree ya chuo gani kijana

maana elimu yako inanitia mashaka kama ujui kuandika

siyo unandika cyo naomba na mimi niende kwenye icho chuo chako

na uyo demu atakuwa na akili kama zako
 
Back
Top Bottom