mii sijafikia huo umri afu mii nahitajii kuzaa watoto 5 kwasababu daktari aliniambia nina mayai mengi soMimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo:
- Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35.
- Awe tayari kuzaa watoto wasiozidi wawili (02).
- Awe Mfanyakazi aliyeajiliwa.
- Awe Mkatoriki au kama yupo dhehbu lingine, awe tayari kubadili.
- Anitumie mawasilianao yake haraka iwezekanavyo.
Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo: