natafuta mchumba wa kike mrembo na mlokole

natafuta mchumba wa kike mrembo na mlokole

Joined
Feb 18, 2013
Posts
10
Reaction score
0
nahitaji mrembo na mlokole maeneo ya dar nina 25yrs.asiwe na wifu na mwenye upendo wa dhati.tuwasiliane.
 
ww ni handsome na mlokole? kwa taarifa yako hutapata mchumba humu JF mke mwema anapatikana magotini ndugu. Ungekuja na hoja kuwa wakuu naomba mni join kumwomba Mungu nipate mke na sio mchumba tungekuelewa. Hata hivyo utapata wenye majibu yanayofanana na matakwa ya uzi wako.
 
hivi ukipigiwa na 100 wenye vigezo utatumia vigezo vip vipya kuwachuja. au utaweka na majaji.
 
Back
Top Bottom