Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
😁 hamna kuchunguzana kidogo?tufunge Ndoa before mwezi wa sita mwaka huu
Unataka kuoa single maza?kama ana mtoto asizidi mmoja
Utachunguza kitu gani? Hata hao walio chunguzana miaka mitano mambo yameenda mlama tu.😁 hamna kuchunguzana kidogo?
Ila wewe 😁Unataka kuoa single maza?
Ulee bao la mwanamume mwenzako?🤣🤣🤣
Bado haujakomaa kiakili! I think upo below 25 yrsUnataka kuoa single maza?
Ulee bao la mwanamume mwenzako?🤣🤣🤣
Vijana wa miaka hii wanajishusha thamani sana kuoa single mazaIla wewe 😁
Waliokomaa akili wanaanzisha familia zao na kuzaa watoto wao hawalei watoto wa wenzao.Bado haujakomaa kiakili! I think upo below 25 yrs
Ukimchunguza kuku huwezi kumla.Au una maana nyingine kuchunguzana kidogo. Wazazi wetu walikuwa "hawachunguzani" na ndoa zao zilidumu kuliko za hao wanaochunguzana.😁 hamna kuchunguzana kidogo?
dini tenaAwe muislamu
Umri 20-30
Hajawahi kuolewa
kama ana mtoto asizidi mmoja
kabila lolote lile.
Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea.
Sifa zangu
Umri 33
Mtumishi serikalini
Sijawahi kuoa
Mengine mengi tutajuzana PM
ALIYE INTERESTED ANICHEK PM,tukimatch tufunge Ndoa before mwezi wa sita mwaka huu
Angalizo: Kama haupo serious usije PM