TRUSTWORTHINESS
Member
- Oct 3, 2012
- 7
- 0
Pengine anataka kupata mtu wa kutoana naye manundu vizuri! Si unajua ukisikia Kurya or Jita tribe husband, qualification kubwa waliyo nayo, ni ya kuwadunda wake zao! Sasa angalau akipata tribemate, huyo mke, hatastuka sana atakapokuwa anafanywa punching box!!Yaani karne ya 21 bado watu wanaongelea ukabila! Mke na kabila wapi na wapi? Hata kama ni haki yako kuchagua umtakaye, vitu kama hivi si vya kuanika. Anyway endelea huenda ukampata huyo kabila lako. Ila siku akikugeuzia kibao usije jamvini na michozi yako.
Ngoja nibadili kabila na umri, ili nifit hii offer.
Tohanchane Mura!
hahaha!uwe ghati o'muhanchile ?
Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi:
Umri: asizidi miaka 24
kabila:mkurya/mjaluo
dini: mkiristo
kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari)
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: yoyote.
Mimi nina sifa hizi:
jina: Eliya eliya@rocketmail.com.
Umri: miaka 27
kabila:mkurya
dini: mkiristo
elimu: chuo kikuu
kazi: mwanasheria wa halmashauri.
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: mweusi.
TAFADHALI dada aliye TAYARi tuwasiliane kupitia eliya@rocketmail.com. then tutazidi wasiliana kwa simu.
Kongosho si kabila na umri kama una elimu ya chuo kikuu itabidi ufiche vyeti maana mchumba anaetakiwa ni mwalimu wa shule ya msingi/sekondari. Lakini unaweza usivifiche kama vyeti ni vya ualimu.Ngoja nibadili kabila na umri, ili nifit hii offer.
Tohanchane Mura!
Kongosho si kabila na umri kama una elimu ya chuo kikuu itabidi ufiche vyeti maana mchumba anaetakiwa ni mwalimu wa shule ya msingi/sekondari. Lakini unaweza usivifiche kama vyeti ni vya ualimu.