Natafuta mchumba wa kike wa tajiri (Bosslady)

Natafuta mchumba wa kike wa tajiri (Bosslady)

DEICHMANN

Senior Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
157
Reaction score
123
Natafuta mchumba kike awe tajiri.
Sifa zangu;

1. Mimi ni black kidogo.
2. Elimu yangu certificate ya Tehama.
3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel Tanzania, Ttcl Tanzania na Tigo Tanzania.


Sifa zake huyo msichana;
1. Awe tajiri Boss lady.
2. Umri kuanzia 18 mpaka 31.
3. Rangi yoyote.
4. Elimu yoyote.
5. Mkoa wowote, akitokea Dar es Salaam ni vizuri zaidi. Now nipo Mkoa wa Ruvuma.
6. Awe mpole na mstaarabu.

Kama upo tayari njoo DM kwa mawasiliano zaidi.
 
Kila la heri japo ni riski sana kutafuta Ke mitandaoni humu kama bidhaa.

Yasije kukukuta ghafla ukaungana na kikundi cha wahuni wa "kataa ndoa" ilihali uzinzi na ushoga hawaukatai.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
wapo kwenye WIVES SUMMITS 2023 wakimaliza vikao watakuja kupitia huu uzi wako Mkuu, kuwa na subira 😂😂
 
Back
Top Bottom