Benylin
Member
- Feb 9, 2017
- 44
- 26
Habari za leo wana jukwaa,
Kwa mara ya kwanza, najitokeza hapa nikiwa na nia ya kutafuta mwanamke ambaye tutakua naye katika mahusiano, na hatimaye kuwa mme na mke.
Mim ninaish Dar, umri wangu miaka 26, ni muajiliwa katika taasisi moja wapo hapa Dar.
Sifa za mwanamke ninaye mtafuta, awe na mapenzi ya kweli, na yenye lengo la kuwa mke na mme.
Awe anaish Dar, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea.
Umri wake usizidi miaka 24.
Kwa mwanamke mwenye hitaji la kupata mwenza, karibu PM tuongee. Ili mradi tu, uwe kwel na mapenzi ya dhati.