Natafuta mchumba wa kike

principles

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
30
Reaction score
10
Habari za jioni wana jukwaa hili pendwa narudia tena kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...

Asiwe mnene sana na mwembambamba sana

Awe wa kawaidaa na asiwe wa kujichubua umri uzingatiwe mana mara ya kwanza nilitoa tangazo humu sisemi vibayaa walinifauata PM wa dada more than 30 years Sasa hapoo hata kama mke jamani tuwe wa kweli pia awe na Elimu kuanzia form four

Mimi Mrefu wa wastani futi tano na nusu na pia rangi mweusi wa kawaidaa Elimu yangu degree Kwa maelezo zaidi njoo PM tuyajenge
 
Watu wengine sijui mna mikosi gan, wanawake wamejaaa kila sehemu wewe unatafuta humu duuuh!!!
 
Unachosema unaweza kuwa right kwaa mtazamo wako but hakuna right place kuwa hapa ndio sehemu ya kutafutia mwanamke au mwanaume
Mkuuu n kweli hakuna sehemu maalumu, ila sio kwa kuanza kumtongoza mtu ambae hata sura yake huijui, sijui hyo tabia yake utaijua kwa chombo gani
 
Mkuuu n kweli hakuna sehemu maalumu, ila sio kwa kuanza kumtongoza mtu ambae hata sura yake huijui, sijui hyo tabia yake utaijua kwa chombo gani


Okay....let me pray and wait what will happen next time
 
Reactions: Gru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…