Natafuta mchumba wa kike

Mkuu unatafuta mke kama unatafuta bidhaa!!! Hebu fanya kuzunguka zunguka bhn,huwezi ukakosa kabisa atayekuvutia. Ukikosa kabisa, hebu zama mbwinde kidogo
, utapata vibinti vizuri tu utajichagulia wakuoa
Huhuhuhu😂 daah utafikiri anatafta vitenge vya kongo!
 
Mkuu huku unapotea,nenda kanisani,mtaani,kijijini au ktk ofisi mbalimbali utampata tu,huku utaumia.

Changamoto niliyonayo ni mazingira na kazi ninayofanya, I mean si mazingira ya watu wengi plus ubize wa kazi. But anyway nitalifanyia kazi mkuu
 
Umri wote huo haujawahi kupendwa tu, au ndo member msaafu wa CHAPUTA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…