Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Abhairegi

Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
80
Reaction score
58
Habari za uzima wakuu? Natafuta binti mwenye sifa zifuatazo:
  • Umri chini ya miaka 30,
  • Awe na utu,uvumilivu na upendo.
  • Elimu kuanzia kidato cha nne.
  • Awe tayari kuishi dsm.
  • Kimo kuanzia futi 4ft 9'
  • Rangi yoyote,dini yoyote.
  • Awe na matumaini ya upendo na kujenga familia hata kama kaumizwa kwenye historia yake
Sifa zangu:
  • Nina miaka 29,
  • Mweusi,
  • kimo changu ni 6ft kasoro,
  • Mwembamba,
  • Mkristo.
Karibu pm uliye tayari kwa maelezo zaidi,shukrani
 
Back
Top Bottom