Habari za uzima wakuu? Natafuta binti mwenye sifa zifuatazo:
- Umri chini ya miaka 30,
- Awe na utu,uvumilivu na upendo.
- Elimu kuanzia kidato cha nne.
- Awe tayari kuishi dsm.
- Kimo kuanzia futi 4ft 9'
- Rangi yoyote,dini yoyote.
- Awe na matumaini ya upendo na kujenga familia hata kama kaumizwa kwenye historia yake
Sifa zangu:
- Nina miaka 29,
- Mweusi,
- kimo changu ni 6ft kasoro,
- Mwembamba,
- Mkristo.
Karibu pm uliye tayari kwa maelezo zaidi,shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site.
Learn more…