Natafuta mchumba wa kike

The real Boy

Member
Joined
Jan 23, 2020
Posts
19
Reaction score
9
Habari ndugu zangu,

Niende kwenye point moja kwa moja. Mimi nimekuwa nikiifatilia JF kwa muda mrefu zaidi ya miaka miwili sasa.

Mimegundua kuwa hapa ni sehemu sahihi na unaweza kupata au kutatua matatizo yako kiusahihi kama utakuwa makini.

Nimeona niwe wazi kabisa hapa, nina umri wa miaka 33 sasa, nimekuwa single kwa muda sana sasa, na nimehisi hapa naweza pata mtu serious na sahihi pia.

Kwa mdada aliye serious na kwa namna moja au nyingne hayupo katika mahusiano naomba tukutane PM tufahamiane na tukuienda tuwe pamoja kwa mahusiano ya kimapenzi Mungu akijaalia tuanzishe familia

NB: Sina machaguzi saana zaidi ya mtu kujitambua na kujielewa.

Karibu PM tuanzishe urafiki tafadhali wadada.
 
Pesa tu kama ipo, huta kwama

Maana hata Biblia inaonyesha wazi, mwanamke akiambatana nawe basi wew mwanaume wapaswa kumpatia huduma zote.

Mwanamke hakuandikiwa kula kwa Jasho.

:Sasa weka wastani wa kipato chako hili Malkia wa nguvu ajirushe PM kwa uhuru.
Akijua kapata Bwana.
 
Suriya,

by the way sipo hapa kuwa tegemezi, mimi ni mwanaume nayejikimu na kuweza kuhudumia familia bila shaka yoyote!!
 
Habari za jioni?

Nimewahi weka post hapa ya kutafuta mwenza, nashukuru waliojitokeza na nimejaribu kuwafatilia kwa ukweli nimekosa vigezo (sio kwamba nachagua sana)

bado natafuta, bado nahitaji saana naomba msichana ambaye anaamini ametulia / amemaliza mambo yake yupo tayari kuwa mke wa mtu basi tuungane, umri niaopendelea ni 18 - 27, mimi ni mkristo hivyo kama mtu atakuwa na imani tofauti na tukapendana basi awe tayari kubadilisha.

NB: naishi dar es salaam
 
Nenda Mt. Meru Hospital yupo mwanamke ametokea Ubelgiji tarehe 15/03/2020, anatafuta mchumba wa kiume.
 
Mleta mada umeandika katika hali ya utulivu na Kuchoshwa moyo
Mungu atakujalia hitaji la moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…