Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Tony2021

New Member
Joined
Jan 13, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Habari Wana jf, naitwa Alfred umri 34 toka Uvinza, elimu yangu diploma na mfanyakazi katika shirika linajihusisha na huduma za kijamii, najitokeza kutafuta mchumba ambaye kama Mungu atapendeza aje kuwa mke wa maisha, ningependa pia awe mcha Mungu na asiyetumia kilevi chochote kile lakini pia awe natural yaani asiwe kajibleach, umri uwe 31 kurudi chini.

Kwa yeyote aliye na nia anitafute dm tukiridhiana tutamove on.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom