Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Kidogo mokasi

New Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
3
Reaction score
1
Nina umri wa miaka 24, natafuta mchumba wa kike alioko serious wa kuanzisha mahusiano, awa mrefu kiasi, maji ya kunde au mweusi, umri 19-22, elimu kuanzia form four, awe mkweli na mwaminifu, in this I pray. [emoji2974]. Baada ya kua na mtu ambae hakua sahihi kwangu nilie mdhani ndiye,
Naomba hutaji langu litimie.[emoji1545]
 
Back
Top Bottom