Kidogo mokasi
New Member
- Mar 10, 2020
- 3
- 1
Habari zenu WanaJF, naandika ujumbe huu kwenu nikiwa najitambua, Mimi kijana nina miaka 24 natafuta mchumba bila kutania, Binti alioko tayari kuanzisha mahusiano ya kweli na mimi namkaribisha, awe mcha Mungu, umri Kati ya 19-23, ajue kusoma na kuandika, mweusi kidogo pia mtafutaji.[emoji1545]