Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

hendeboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
218
Reaction score
21
Ndugu wanaJF naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi kwa kile kinachonisibu, mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba na hatimaye awe mke wa kuoa therefore kwa yeyote yule aliye tayari tuwasiliane na awe na mapenzi ya dhati asiwe muongo awe mkweli.
 
sasa ulitegemea mchumba awe wakuchezea nini mboni unahatari wewe kiumbe...
 
Kama hiyo Avatar yako inawakilisha sura yako, mimi niko tayari kabisaaa kuwa mchumba wako.. Ni PM..
 
Ndugu wanaJF naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi kwa kile kinachonisibu, mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba na hatimaye awe mke wa kuoa therefore kwa yeyote yule aliye tayari tuwasiliane na awe na mapenzi ya dhati asiwe muongo awe mkweli.

Mbona unajieleza as if kwako ni tatizo..
Mradi umejielezea kuwa mchumba ambaye hatimaye atakuwa mke..hope utawapata..
Good searching broda....
 
Kama hiyo Avatar yako inawakilisha sura yako, mimi niko tayari kabisaaa kuwa mchumba wako.. Ni PM..

Mwanamme sio sura bali kazi na kuingia bank kudeposit au kuchukua ngawila.
 
Pamoja nI kweli mwanaume asifiwi kwa u handsome ila nimeshindwa kujizuia maana hiyo sura nimeidondokea sio siri..
 
Unatafuta mchumba wa kike?

Njoo mtaani kwetu, utapata. jirani yangu kuna mchumba mkubwa tu tena self, ila sijui kama ni wa kike. Huitaji na sebule au ni chumba tu?
 
Jamani hiyo avatar hahahha kweli hata kama mwanaume sio sura LO!kudepost wapi mkiombwa hata laki tu na wapenzi wenu mnakuja kulialia humu
 
Huna hata vigezo ambavyo unavitaka huyo mke mtarajiwa awe navyo?

Back
Top Bottom