Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Emmanuel2010

Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
7
Reaction score
0
Vigezo


  1. Awe na umri kati ya miaka 18-24
  2. Rangi so inshu lakini black is good
  3. Aweze kujitegemea sio baby sina vocha
  4. Awe na subira na muelewa wa maisha
  5. Ajiamini na awe tayari kupima
  6. kimo(Urefu) usipungue 170cm
  7. Asiwe mlevi lakini asiwe hanywi pombe
  8. Awe kabila lolote lile lakini si mchaga
  9. Awe hajawai toa wala kupata mimba
  10. Awe msafi wa mwili na mazingira
  11. Awe mkweli na muwazi katika mambo ya msingi
  12. Awe na mvuto kama huna pisha wenzako
 
ngoja nikuongezee "asiwe na chogo ndefu"
 
mi pia natafuta mchumba lakini hizo sifa zako zote nnazn ila hiyo ya vocha imenishnda. Pia napenda mwanaume siyo wakiume asiyependa majukumu
 
mi pia natafuta mchumba lakini hizo sifa zako zote nnazn ila hiyo ya vocha imenishnda. Pia napenda mwanaume siyo wakiume asiyependa majukumu
Majukumu c kununuliana vocha. kuwa mwanamke ni zaidi ya kuomba vocha kuna vitu vidogo ambavyo vitakutofautisha wewe kama mwanamke anayefaa kuwa mke na mwanamke malaya.
 
Back
Top Bottom