Emmanuel2010
Member
- Oct 30, 2010
- 7
- 0
Majukumu c kununuliana vocha. kuwa mwanamke ni zaidi ya kuomba vocha kuna vitu vidogo ambavyo vitakutofautisha wewe kama mwanamke anayefaa kuwa mke na mwanamke malaya.mi pia natafuta mchumba lakini hizo sifa zako zote nnazn ila hiyo ya vocha imenishnda. Pia napenda mwanaume siyo wakiume asiyependa majukumu
8.Awe kabila lolote lile lakini si machaga.
Mke mwema anapatikana kila kabila kwa nini isiwe mchaga?