big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli zangu binafsi huku nikiangalia ni wapi pa kutokea, nahitaji msichana kati ya miaka 20 - 24, tutaanza kwanza kuwa marafiki kama tutakubaliana na kuona inafaa kuwa wapenzi itakuwa poa. Siahidi ndoa ila kama vigezo vitaendana na urafiki ukidumu na kufika mbali itakuwa poa, nakaribisha PM na kila kitu tutamalizana huko kiroho safi.