ukiweza kupata mchumba wa Kihindi basi hata Maasai wa kikwelikweli unaweza kumpata. Try my Brother. Labda wale waloona shule na si ninaowafahamu mimi. Hata ukipotea njia tu na ukakutana nae ukajaribu kumuuliza atajifanya hajui kiswahili. Kazi kwako mkuu.